Ronaldinho ambaye kwenye filamu hiyo ametumia jina la Ronaldo atakuwa pamoja na mastaa wengine kama Mike Tyson, Fabricio Werdum na Paige Van Zant.
Producer wa filamu hii Rob Hickman kutoka Hollywood amesema, “Kama producer napenda kutangaza watu maarufu kama bidha na chapa kupwa, ukiacha uwezo wa Ronaldinho pia anakuja na followers wa mitandao yake zaidi ya milioni 66, hii inaonyesha atafikiwa wengi kwa kipaji chake“
williamcharlz.blogspot.co.uk